Swali kwenu GT; atakayepatia zawadi itatolewa.

Swali kwenu GT; atakayepatia zawadi itatolewa.

1. Typical 70kg human, seven billion billion billion atoms

2.The quick brown fox jumps over the lazy dog

3. =rand.old(1,1)
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Salute..
Nina maswali kidogo kwenu GreatThinkers (Brain Teasing), atakayepatia nitampa zawadi (Confidantial).
NB. Kua mwaminifu na msema kweli kama wewe ni mtu wa Mungu usiangalizie

Qn1: Mwili wa binaadamu umetengenezwa kwa Atoms ngapi..? (35 marks)

Qn2:
Tunga sentesi ambayo itachukua kila herufi kwenye Alphabeti zote 26, iwe na maana. (Usiache Alphabeti hata moja)
[50Marks]


Qn3:
Andika formula ambayo ukiandika inakuletea hiyo sentesi hapo juu swali namba mbili (15Marks)


NB. Ikipita saa 1 na dk 30 natoa majibu.
Tchao.
Zawadi ni kifurushi (GB)cha mwez cha mtandao wowote kuperuzi Mtandaoni.
Tupe majibu..muda umeisha
 
=======
Qn1:
Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7 Quadrions

Qn2:
The quick brown fox jumps over the lazy dog

Qn3:
=RAND()
Ukiandika hiyo formular hapo juu kwenye Ms Word yanatokea hayo maneno hayo.
Hapo sawa mkubwa[emoji120]
 
=======
Qn1:
Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7 Quadrions

Qn2:
The quick brown fox jumps over the lazy dog

Qn3:
=RAND()
Ukiandika hiyo formular hapo juu kwenye Ms Word yanatokea hayo maneno hayo.
=rand() kwa word 2016 haifany kaz..ila ukitype =rand.old(1,1)..walaaah! Kitu hko hapo..
 
Maswali yote nyanya ila nikiyajibu mtasema natafuta kiki
 
Back
Top Bottom