The secretary.....i love you!BISHANGA ni gwiji wa kuwinda vikina lulu huko kwingine hayupo mkongojo wake ndo huwa unamwamsha
The secretary.....i love you!
Majibu ya nini sasa?
Inategemea nimelala na nani kati ya wake zangu wawili na nyumba ndogo tatu. Kama nimelala peke yangu naamshwa na alarm ya simu. Ushanifaham?Wewe huwa unaamshwa kwa style gani? kijana anataka kujua:violin:
Na hapa unazungumzia mkojo upi?Huyu Asprin huamshwa na mkojo si unacheck tu pozi lake?
Kabla sijakujibu we ni he au she?Mkojo mrefu au wa njano.
Unaamshwa na nini babu??Majibu ya nini sasa?
Wife asee.....:amen:Unaamshwa na nini babu??