Swali kwenu ninyi mlio oa na wasio oa.

Swali kwenu ninyi mlio oa na wasio oa.

ammmmmmmeeeeeeeeeennnnn.
Orayt..... sasa acha longolongo, twenzetu PM kule tukatongozane:welcome::lalala::A S-heart-2::car::behindsofa::hug::washing::mimba::amen:
 
Nasikitika unanipiga kibuti hadharani. Afu unanipigia debe kwa katibu muhtasi ambaye hana time na mimi kabisa. Naye kanipiga chini pia, si umemsoma hapo chini?. Hebu nfanyie mpango kwa Yummy basi, kama kweli unanipenda kiviiiiiile...

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

😛oa😛oa:eyebrows::eyebrows:
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
By TaiJike Lijali kama wew huhitaji kuwa na kuwadi hasa kwa mtoto mzuri kama YummyBishanga hana lolote hata akitumia mahela, Yummy lazima akolee kwako..

Teh teh teh aminia Asprin kwa kuchakachua tu nambari wani

Hahahaha.....Kila mtu aseme AMEN😛eep:

Subutuuuuu kirahisi hivyoooooo.......fanya mambo uonekane
 
Last edited by a moderator:
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaa

Teh teh teh aminia Asprin kwa kuchakachua tu nambari wani

Subutuuuuu kirahisi hivyoooooo.......fanya mambo uonekane
Siamini macho na masikio yangu......... Yaani hata Yummy naye kanigongomela? Nionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio...khaa!
 
Last edited by a moderator:
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaa

Umeona eee....sasa ona ni aina gani mwanamke atamkubali huyu.
 
Back
Top Bottom