Swali kwenu ninyi mlio oa na wasio oa.

We mwana mtoka pabaya mbalu ndo nini kutaka kuadhiri wazee kama kina Asprin na Mtabuzi unajua wana wake kila kona ya mtaa kama dereva wa lory na vituo.
 
Last edited by a moderator:
We mwana mtoka pabaya mbalu ndo nini kutaka kuadhiri wazee kama kina Asprin na Mtabuzi unajua wana wake kila kona ya mtaa kama dereva wa lory na vituo.
Mwambie kabisa TaiJike kuwa hata wewe uko mbioni kuwa mke wangu ifikapo Julai mwaka huu. Halafu eti niamshwe na mkojo? Labda anamaanisha ule mzito lol
 
Last edited by a moderator:
Mwambie kabisa TaiJike kuwa hata wewe uko mbioni kuwa mke wangu ifikapo Julai mwaka huu. Halafu eti niamshwe na mkojo? Labda anamaanisha ule mzito lol
:hand::hand::hand:........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:
Asprin ukimya wa Taijike unasapoti signature yako?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kumbe na ujanja wote bado anaamshwa na mkojo pole yake.

sio mkojo ni yule mbabu wake kamchokoza ndotoni anakuwa kesha simama anamwambia wake up boss is time for totoz huyu huwa analala mkono kauweka ikulu
 
:hand::hand::hand:........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................:israel::israel::israel:
Asprin ukimya wa Taijike unasapoti signature yako?
Jibu hili hapa chini.

Wakongwe tunajuana hakuna laana sanaa. Mie na Asprin tushakubaliana, hakuna wa kutuzuia ,haya, watoto mkalale.
πŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oa:tongue::eyebrows:
 
Inamaana mtu ukiwa umeoa hubanwi na mkojo asubuhi? Nadhani hayo ni maneno tu yasiyokuwa na mantic yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…