hahahaha.....kila mtu aseme amenπeep:
Orayt..... sasa acha longolongo, twenzetu PM kule tukatongozane:welcome::lalala::A S-heart-2::car::behindsofa::hug::washing::mimba::amen:ammmmmmmeeeeeeeeeennnnn.
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaaNasikitika unanipiga kibuti hadharani. Afu unanipigia debe kwa katibu muhtasi ambaye hana time na mimi kabisa. Naye kanipiga chini pia, si umemsoma hapo chini?. Hebu nfanyie mpango kwa Yummy basi, kama kweli unanipenda kiviiiiiile...
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
πoaπoa:eyebrows::eyebrows:
Hahahaha.....Kila mtu aseme AMENπeep:
Asprin umeniangusha vibaya sana yani nilikua nakuona wewe ni dume la mbegu kumbe habari yako kwishnei kabisaaa
Siamini macho na masikio yangu......... Yaani hata Yummy naye kanigongomela? Nionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio...khaa!Teh teh teh aminia Asprin kwa kuchakachua tu nambari wani
Subutuuuuu kirahisi hivyoooooo.......fanya mambo uonekane