Swali kwenu wanawake

Kakwambia anataka kuongeza mwingine ndio maana unakuja kutafuta maoni hapa? Ongea nae ukishindwa ondoka. Shubamiti

Mwanaume hawezi kuwa na maswali ya kike kama haya.
 
Mie naogopa maana nina wivu mbaya sana aisee, nikisikia tu anamazoea na mdada mwingine roho huwa inataka kuniruka , Asa unaletewa kabisa mke mwenzio wa halali means ndo mshakuwa vyombo vya starehe

Mambo yao tuwaachie wenyewe kwakweli
Punguza kidogo wivu sasa wengine wataolewa na nani?
 
Kakwambia anataka kuongeza mwingine ndio maana unakuja kutafuta maoni hapa? Ongea nae ukishindwa ondoka. Shubamiti

Mwanaume hawezi kuwa na maswali ya kike kama haya.
Punguza makasiriko we umeangalia upande mmoja tu sio je kama mm ndio nataka kuongeza mke?

Punguza upumbavu kabla ujaongea tafakari na hili swali nimelenga kwa wanawake au wewe mwanamke?
 
Punguza kidogo wivu sasa wengine wataolewa na nani?
hUa najiuliza inamaana anaoa mke wa pili akijiskia tu au labda pengine mke wa kwanza akipatwa na changamoto labda ya uzazi, au ameugua mda mrefu ( namaanisha zile changamoto ambazo hazivumiliki )?
Haya mambo yanaogopesha sana aisee
 
Mke hana shida yoyote ila kaona bora ongeze mke wa pili ili awe na watoto wengi kwa wakat mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…