Swali kwenu wanawake

Swali kwenu wanawake

Punguza makasiriko we umeangalia upande mmoja tu sio je kama mm ndio nataka kuongeza mke?

Punguza upumbavu kabla ujaongea tafakari na hili swali nimelenga kwa wanawake au wewe mwanamke?
Hujui hata kuandika. Kajifunze kuandika kwanza kenge mmoja.
 
Mambo vip!

Nina swali kwenu wanawake mwanaume wako au mumeo akitaka kuoa mke wa pili yaani kuongeza mke wa pili na wewe ukiwepo hana nia ya kukuacha je utalipokeaje ilo jambo au utalitafsiri vipi?

Na je ni bora aoe mke wa pili uku amekupa taarifa au bora asikupe taarifa?
Wanawake wana hulka ya kulinda uzao wao uendelee. Hawapendi mwanamke mwingine kwa ajili ya hofu hiyo kuwa familia inaweza kupata upungufu wa mahitaji. Hata wakikubali n ni KWANI HAWANA NAMNA NYINGINE.
 
Wanawake wana hulka ya kulinda uzao wao uendelee. Hawapendi mwanamke mwingine kwa ajili ya hofu hiyo kuwa familia inaweza kupata upungufu wa mahitaji. Hata wakikubali n ni KWANI HAWANA NAMNA NYINGINE.
Sure
 
Vitu vingine huwa nasema Ahsante Mungu nilizaliwa mkristo na nitakufa nikiwa mkristo

Ila kuna wanawake wana ujasiri sana aisee
Ukiona mwanamke anakubali ukewenza basi tambua tu kuwa huyo mwanamke ni tegemezi kwa mumewe na hana uwezo wa ku move on kimaisha bila huyo mwanamme. So anakubali tu kishingo upande huku moyoni analia. Hakuna mwanamke anapenda ukewenza, ni sawa tu mwanamme kuwa na mke analiwa na mtu mwingine kwa zamu.
 
Back
Top Bottom