Swali kwenu wanawake

Punguza makasiriko we umeangalia upande mmoja tu sio je kama mm ndio nataka kuongeza mke?

Punguza upumbavu kabla ujaongea tafakari na hili swali nimelenga kwa wanawake au wewe mwanamke?
Hujui hata kuandika. Kajifunze kuandika kwanza kenge mmoja.
 
Wanawake wana hulka ya kulinda uzao wao uendelee. Hawapendi mwanamke mwingine kwa ajili ya hofu hiyo kuwa familia inaweza kupata upungufu wa mahitaji. Hata wakikubali n ni KWANI HAWANA NAMNA NYINGINE.
 
Wanawake wana hulka ya kulinda uzao wao uendelee. Hawapendi mwanamke mwingine kwa ajili ya hofu hiyo kuwa familia inaweza kupata upungufu wa mahitaji. Hata wakikubali n ni KWANI HAWANA NAMNA NYINGINE.
Sure
 
Aoe mke wa pili kivipi yaaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani kitendo tu cha kunishirikisha hiyo idea usiku alale kwa machale sana maana anaweza kuamka balls hazipo.
🀣🀣🀣
 
Vitu vingine huwa nasema Ahsante Mungu nilizaliwa mkristo na nitakufa nikiwa mkristo

Ila kuna wanawake wana ujasiri sana aisee
Ukiona mwanamke anakubali ukewenza basi tambua tu kuwa huyo mwanamke ni tegemezi kwa mumewe na hana uwezo wa ku move on kimaisha bila huyo mwanamme. So anakubali tu kishingo upande huku moyoni analia. Hakuna mwanamke anapenda ukewenza, ni sawa tu mwanamme kuwa na mke analiwa na mtu mwingine kwa zamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…