Swali kwenu

Swali kwenu

Umeuliza ili kujihakikishia kama kitaa wanakosea au hawakosei kukuita lishangazi??
 
Kwaiyo saiv jimama ndo imekua replaced na lishangazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dah na mi ndo nshakua shangazi. Naona kama nilikua kigoli juzi tuu. Siku zinaenda kasi sana.
 
Back
Top Bottom