nowadays well reputed company zina OUTSOURCE all IT activity to small company as a way to reduce cost, and those IT company which are outsourced zina deliver service kwa low costs hili zipate profits,, so ajira kwa graduate zipo sana kwenye small outsourced company but mshahara ni mdogo ili kupunguza cost as to increase their profit compared to zamani walipokuwa wanaajiriwa direct kwenye hizo big company, mfano where am working IT services wamekuwa outsourced a small company called POWER COMPUTER na ni wahindi tupu, kwa hiyo wanafanya service na shughuli zote za IT on behalf our company,, na hii imesababisha tuwe na IT department isiyozidi watu 10 ambao ni waajiriwa wa our company,,
Kwa kumalizia graduate msiwaze sana kuajiriwa zaidi ya kuwa innovatives na kuanzisha kampuni zenu ndogo na kufukuzia tenda za kuwa outsourced na nyie katika big company like TRA, TANESCO,VODACOM ETC la sivyo ni kusali sana