mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Tofauti ya jf na facebook ni kwamba jf watu wako so anonymous so kuna watu wana mahusiano ya karibu kama vile baba/mama, dada, kaka, mjomba, shangazi....n.k na huenda wasijuane. Lakini kwa facebook asilimia kubwa watu wanajuana kwa majina yao halisi.kip cha kuzuia? Kwan mitandao inakataza kapo kushrikiana? C hapa jf wanadai kuna wana ndoa.
Tofauti ya jf na facebook ni kwamba jf watu wako so anonymous so kuna watu wana mahusiano ya karibu kama vile baba/mama, dada, kaka, mjomba, shangazi....n.k na huenda wasijuane. Lakini kwa facebook asilimia kubwa watu wanajuana kwa majina yao halisi.
tofauti ni kuwa hauko ndoani.fikiria nje ya kiboksi ww! wafkiri kuna tofaut? Mm mdau wa zote cion tofaut.
Ahah! we acha hizo. Mi nakusarandia halafu unanieleza nini tena! :lol:sisi tupo fb,jf, tweeter, badoo, yahoo messenger, hotmail, gmail, n.k.....mbona poa tu....
Ahah! we acha hizo. Mi nakusarandia halafu unanieleza nini tena! :lol:
hakyanani vile...we mwenyewe unalijua hilo.are u siriaz.....?....naweza nikaahirisha mipango yote kwa ajili yako wallah.......
hom si mnaonana kila siku?Kwani mna mpango wa kufanya nini huko Facebook hata msiwe marafiki?
hom si mnaonana kila siku?
sasa urafiki wa mtandao wa nini tena.
hom si mnajjjionana kila siku?
sasa urafiki wa mtandao wa nini tena.
Lizi kwa kunishika wewe!Kwahiyo mkionana kila siku ndio. . . ?
Mbona kwenye simu mnaongea na text mnatumiana? Mbona mnao'onana nao makazini/shuleni kila siku mmnawa-add?
Tafuta kisingizio kingine zaidi ya hicho cha kuonana kila siku.