Swali la jumatatu...linahitaji majibu!

Swali la jumatatu...linahitaji majibu!

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Hivi mumeo/mkeo anaweza kuwa rafiki yako katika mitandao ya kijamii hasa facebook?

Kumbuka mnaishi wote nyumbani.
 
kip cha kuzuia? Kwan mitandao inakataza kapo kushrikiana? C hapa jf wanadai kuna wana ndoa.
 
kip cha kuzuia? Kwan mitandao inakataza kapo kushrikiana? C hapa jf wanadai kuna wana ndoa.
Tofauti ya jf na facebook ni kwamba jf watu wako so anonymous so kuna watu wana mahusiano ya karibu kama vile baba/mama, dada, kaka, mjomba, shangazi....n.k na huenda wasijuane. Lakini kwa facebook asilimia kubwa watu wanajuana kwa majina yao halisi.
 
Ndugu,

Lengo ni kuabalishana na kubadilishana mawazo, kama unaweza kufanya hivyo kwa mkeo au mmeo mie sioni tatizo. Mbona natoka nyumbani saa 12 asubuhi alafu nikifika kazini saa mbili nampigia simu mke wangu kujua kama yeye ameishafika kazini kwake au la, alafu nampigia simu muda wowote kwa jambo lolote. Binafsi sioni kama kuna tatizo mkeo/mmeo kuwa rafiki wako feisibuuku
 
Tofauti ya jf na facebook ni kwamba jf watu wako so anonymous so kuna watu wana mahusiano ya karibu kama vile baba/mama, dada, kaka, mjomba, shangazi....n.k na huenda wasijuane. Lakini kwa facebook asilimia kubwa watu wanajuana kwa majina yao halisi.

fikiria nje ya kiboksi ww! wafkiri kuna tofaut? Mm mdau wa zote cion tofaut.
 
Face book is too open to all. Cha msingi lakini hao wanaoogapana huko fb, inategemea kila mmoja alijiunga na fb kwa madhumuni yapi?
 
mwenza wangu ni rafiki yangu facebook.

Ila hapa Jf hajui Id yangu wala mie sijui Id yake. Sidhani kama ni rafiki yangu as nina rafiki 1 tu....
 
wote tuko fb na hapa sijui kama yupo maana sijamuuliza.sioni tatizo lolote.maana hata pasword za email tunapeana tu.
 
sisi tupo fb,jf, tweeter, badoo, yahoo messenger, hotmail, gmail, n.k.....mbona poa tu....
 
Kwani mna mpango wa kufanya nini huko Facebook hata msiwe marafiki?
 
hom si mnajjjionana kila siku?
sasa urafiki wa mtandao wa nini tena.

Kwahiyo mkionana kila siku ndio. . . ?
Mbona kwenye simu mnaongea na text mnatumiana? Mbona mnao'onana nao makazini/shuleni kila siku mmnawa-add?

Tafuta kisingizio kingine zaidi ya hicho cha kuonana kila siku.
 
Lizi kwa kunishika wewe!
 
kama ndo hvyo basi hata namba za simu msipeane kisa mnaishi pa1
 
Back
Top Bottom