jf kila mtu na wake kama alivyoumba Mungu.kip cha kuzuia? Kwan mitandao inakataza kapo kushrikiana? C hapa jf wanadai kuna wana ndoa.
mmmmmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!sisi tupo fb,jf, tweeter, badoo, yahoo messenger, hotmail, gmail, n.k.....mbona poa tu....
hawezi.:brushteeth:Hivi mumeo/mkeo anaweza kuwa rafiki yako katika mitandao ya kijamii hasa facebook?
Kumbuka mnaishi wote nyumbani.
Lizi kwa kunishika wewe!
He kumbe mmekamilika?jf kila mtu na wake kama alivyoumba Mungu.
we wako nani Golden M?
okeeeehawezi.:brushteeth:
sijakufukuza banaa, kwanza ndo napenda...mrembo kama wewe tena!:lol:Basi ntakua napita mbali.
hakyanani vile...we mwenyewe unalijua hilo.
mitishamba.....wacha weee......hivi ile ID ni ipi tena.......?
Uko sawa mkuu ila kwa jf watu hawapendi id zao zijulikane kwa wengine. Kwenye JF tena itanoga zaidi endapo mtakuwa hamjaambiana majina yenu mnayotumia.Ndugu,Lengo ni kuabalishana na kubadilishana mawazo, kama unaweza kufanya hivyo kwa mkeo au mmeo mie sioni tatizo. Mbona natoka nyumbani saa 12 asubuhi alafu nikifika kazini saa mbili nampigia simu mke wangu kujua kama yeye ameishafika kazini kwake au la, alafu nampigia simu muda wowote kwa jambo lolote. Binafsi sioni kama kuna tatizo mkeo/mmeo kuwa rafiki wako feisibuuku
Uko sawa mkuu ila kwa jf watu hawapendi id zao zijulikane kwa wengine. Kwenye JF tena itanoga zaidi endapo mtakuwa hamjaambiana majina yenu mnayotumia.
Uko sawa mkuu ila kwa jf watu hawapendi id zao zijulikane kwa wengine. Kwenye JF tena itanoga zaidi endapo mtakuwa hamjaambiana majina yenu mnayotumia.
Mi naona inanoga zaidi mkiwa mnajuana (kwa wale ambao sio wanafiki that is. . . )kwasababu mnapata hata sehemu ya kutaniana na kuchokozana alafu mengine mnamalizia nyumbani.
Halafu mkicharurana humu...then siku mkaja kujua kuwe ndo nyie itakuwaje?Uko sawa mkuu ila kwa jf watu hawapendi id zao zijulikane kwa wengine. Kwenye JF tena itanoga zaidi endapo mtakuwa hamjaambiana majina yenu mnayotumia.
what i ukaja ukamtongoza mkeo/mmeo?wajua shida ni malengo..kuna wanaotumia majukwaa haya au blogs,kuapproach... Ama baadhi ya wadada mfano faceb... nako wanaweka nicknames,na wako kibusiness zaidi...