Swali la jumatatu...linahitaji majibu!

Swali la jumatatu...linahitaji majibu!

Ndugu,Lengo ni kuabalishana na kubadilishana mawazo, kama unaweza kufanya hivyo kwa mkeo au mmeo mie sioni tatizo. Mbona natoka nyumbani saa 12 asubuhi alafu nikifika kazini saa mbili nampigia simu mke wangu kujua kama yeye ameishafika kazini kwake au la, alafu nampigia simu muda wowote kwa jambo lolote. Binafsi sioni kama kuna tatizo mkeo/mmeo kuwa rafiki wako feisibuuku
Uko sawa mkuu ila kwa jf watu hawapendi id zao zijulikane kwa wengine. Kwenye JF tena itanoga zaidi endapo mtakuwa hamjaambiana majina yenu mnayotumia.
 
wajua shida ni malengo..kuna wanaotumia majukwaa haya au blogs,kuapproach... Ama baadhi ya wadada mfano faceb... nako wanaweka nicknames,na wako kibusiness zaidi...
 
Mi naona inanoga zaidi mkiwa mnajuana (kwa wale ambao sio wanafiki that is. . . )kwasababu mnapata hata sehemu ya kutaniana na kuchokozana alafu mengine mnamalizia nyumbani.
 
umeona eeh...
 
Uko sawa mkuu ila kwa jf watu hawapendi id zao zijulikane kwa wengine. Kwenye JF tena itanoga zaidi endapo mtakuwa hamjaambiana majina yenu mnayotumia.
Halafu mkicharurana humu...then siku mkaja kujua kuwe ndo nyie itakuwaje?
Mana kuna wakati kuna watu huwa wanacharuka humu..!
 
wajua shida ni malengo..kuna wanaotumia majukwaa haya au blogs,kuapproach... Ama baadhi ya wadada mfano faceb... nako wanaweka nicknames,na wako kibusiness zaidi...
what i ukaja ukamtongoza mkeo/mmeo?
 
Back
Top Bottom