Hamna Mkuu ni kawaida hata wengine wanazaa Sana tuu sema umaarufu unafanya watambulike zaidi kwasababu wanafuatiliwa na big crowd akiwemo na Wewe. Ni sawa na akifa wazir au Kiongoz Mkubwa watu watashtuka wakati maskin wanakufa kilasiku kwA ajari, migogoro ya ardhi, majambazi, vita, njaa lakn watu hawashtuk wanaona kawaida..
Kupata twins nasikia ni malengo
Hata wewe hapo ambaye sio tajiri wala superstar unaweza kupata ukiamua
NOTE:sifahamu ni kiaje
Hahahh itakuwa ni hivyoHaiyaa!, sasa nilitaka kuuliza ni Kiaje. Labda wanafanya kama vile wanafanya kupata mtoto wa kike au wa kiume.
naomba nisikujibuMaelezo ya ki chitchat, hebu relax kidogo Uchit chatike na wewe. Kuuliza si ujinga, kujibu ujinga ndo ujinga wako.
Ni rahisi sana mapacha kuzaa mapacha.. Jaribu uone...Eti nasikia mapacha huwa hawawezi kamwe kuzaa watoto mapacha hivi ni kweli???
Nasikia tu binafsi sijui
Ila I like twins lol!
Hahaaaaa umemuweza johhjibu la ki chit chat we ni muongo
mjibu tu ila chunga ban ni mbaya kwa afynaomba nisikujibu
Mkuu mpotezee banaa. Hili swali ingekua fresh kama ungepeleka Jf doctor forum maana hapa ni utani kwenda mbele tu. So don't be curiousMaelezo ya ki chitchat, hebu relax kidogo Uchit chatike na wewe. Kuuliza si ujinga, kujibu ujinga ndo ujinga wako.
watu hawajui kama hapa ni chit chat pia mtu anatoa mada za ovyo anataka majibu mazuri sijui wanafikiriaga kupitia wapiHahaaaaa umemuweza johh
mjibu tu ila chunga ban ni mbaya kwa afy
Mkuu mpotezee banaa. Hili swali ingekua fresh kama ungepeleka Jf doctor forum maana hapa ni utani kwenda mbele tu. So don't be curious
Ila bado senior member hajajua vitu vingi ni halaliwatu hawajui kama hapa ni chit chat pia mtu anatoa mada za ovyo anataka majibu mazuri sijui wanafikiriaga kupitia wapi