Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kikawaida mara nyingi huwa hivyo, sijui kisayansi lakini.
Ni kweli huwa hivyo... Twin sister kazaa mapacha already...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikawaida mara nyingi huwa hivyo, sijui kisayansi lakini.
Asante kwa kunieleweshamapacha wanazaa mapacha sana tu. bibi yangu mzaa mama kamzaa mama ana twin wake. naskia kuzaa mapacha ni genetic
Hahahaahhahahaahahahahaha nimesema tu napenda kuwazaaSidhani kulea ni shida kama una msaidizi. Kila Lakheri! 🙂
We fanya timbwili.. Deka, nuna, cheka, lia... Nitaku handle...Haaaa ile nime-conceive tu kasheshe litannza
Hizo Timbwili Timbwili naeza pata miscarriage kabisa
Hivi inakuwaje Masuper star na matajiri wengi wanazaaga Twins tu. Kwani watu wengine wa kawaida hawapatagi watoto Twins sana. Hawa ni mfano wa couples maarufu wenye twins.
K-Lynn, Mengi
Beyonce, Jay Z
Angelina Jolie, Brad Pitt
Jennifer Lopez, Marc Anthony
Amal and George Clooney
View attachment 481396 View attachment 481397
Wengine huwa wanatumia madawa ya kuongeza uwezekano wa kupata twins. Huyu Clooney na mkewe mimba yao ni ile ya kupandikiza si kwa njia ya kawaida. Na mimba hizi uwezekano wa kupata watoto wawili kwenda juu ni mkubwa sana.
Hawa akina B na Jayz inawezekana ni mipango ya Mungu tu au hata madawa pamoja na kuwa mimba inangia kwa njia za kawaida lakini uwezekano wa zaidi ya mtoto mmoja huwa mkubwa.
Nitapasuka aseeWe fanya timbwili.. Deka, nuna, cheka, lia... Nitaku handle...
Ukipasuka nitakuziba...Nitapasuka asee
Kwa hizo raha mhmmhmhmhmh
TehtehKwani unadhani halijui hilo... Analijua sana... Sema sitaki nataka nyingi...
Naanzaje kukutaka kwa mfano??? Nikukubali kwa swaga zipi mpya chini ya jua????
Hahaha... Hapa ndiyo napocheka kwa dhaaraau...Naanzaje kukutaka kwa mfano??? Nikukubali kwa swaga zipi mpya chini ya jua????
Heheheee Ustake nicheke miee