Swali la ki chitchat

Hapana chezea aisee hata nguvu ya kula kwishaaaa hahahaah
Dawa yako inachemka Wee ngoja tu
Huwezi nfanyia vile mtoto wa mwanaume mwenzio
Yeah nilitaka kusahau ulishindwa hadi kula... Baada ya kukubembeleza sana kwa vitendo ndiyo ukaanza kula...
 
Hapana mimi nambie ila kwa kuku wengi ndo usimwage mchele
Wewe of course i tell you... Kama ishakuwa ndiyo vile... U know vile... I mean vile.. Vile vile... Hakuna cha kufichana...

Kesho si Jumapili usijali i will tell you all...

Siwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi... Hii itabakia between you and me... Strictly confidential...
 
Mi huwa nakula ndizi mapacha kwa kuamini kuwa mwanamke wangu nkimpa mimba atazaa mapacha [emoji23][emoji23][emoji23]

[HASHTAG]#SijuiNimekulaMaharageYaWapiLeo[/HASHTAG]

Ahahahahahahah, labda ukiamini sana itakuwa kweli. Faith can move mountains. 🙂
 
Ahahahahahahah, labda ukiamini sana itakuwa kweli. Faith can move mountains. 🙂
Halafu hii tabia tangu nikiwa mdogo yaani..kila nkiona ndizi zilizoshikana lazima nizing'ang'anie ili nizile....Huenda Labda imani yangu itaniponya...Mungu atajalia nitapata twins
 
Halafu hii tabia tangu nikiwa mdogo yaani..kila nkiona ndizi zilizoshikana lazima nizing'ang'anie ili nizile....Huenda Labda imani yangu itaniponya...Mungu atajalia nitapata twins

Umenikumbusha hili niliwahi kusikia pia. Ni kweli mkuu, pengine Imani yako itakuponya.
 
Yeah siri ya watu wawili they say
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…