Me nadhani ukishasema Asante kwa kushiba inakupasa uondoke kama huna mengineyo.! Zaidi ya hapo utaitwa kwenye sink ukaoshe vyombo vilivotoka kutumika kwwnye mlo
Me nafikiri muda unaofaa ni ule atakaotosha kufanya ukutane na menu inayofata yan kama lunch we piga stori had dinner itue mezan then unafanya yako unasepa