Swali la kienyeji

Swali la kienyeji

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
Twende Pamoja Hivi Inafaa Kukaa Muda Gani Baada Ya Kula Kwa Jirani Ndio
Uondoke
Usionekane Kama Ulifuata Msosi???? Nini Maoni Yako Mdau Wangu
 
Skia hii ya mgeni na mwenyeji...

Mweneji;, karibu mgeni nikuandalie nini kuna soda au nikuchemshie chai

Mgeni;, Niletee soda huku nikisubili chai ichemke

√√ mgeni hapendi ujinga
 
Me nadhani ukishasema Asante kwa kushiba inakupasa uondoke kama huna mengineyo.! Zaidi ya hapo utaitwa kwenye sink ukaoshe vyombo vilivotoka kutumika kwwnye mlo
 
Me nafikiri muda unaofaa ni ule atakaotosha kufanya ukutane na menu inayofata yan kama lunch we piga stori had dinner itue mezan then unafanya yako unasepa
 
Back
Top Bottom