Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Soka inagusa maslahi ya umma. Kwa maana hiyo ni za umma.
TFF ina taratibu na kanuni zake. Ukiukwaji wowote unaweza kuhatarisha maslahi ya sehemu au umma wote. Serikali haiwezi kufumba macho
Ndiyo maana serikali hutoa ulinzi wa Polisi kwenye mechi kwa maslahi ya umma.
Hata hela za vicoba ni za umma kwa maana hizo hizo. Mtu akifuja au kutumia kinyume cha kanuni za wanakiboba anashughulikiwa kuepuka uvunjaji wa amani