Mkuu kuna watu wapuuzi sana, mimi nilifika kwa yule nahodha anaishi mazingira magumu sana, anasema walipewa nauli na fedha ya kula njia hawajalipwa posho wote. Ina maana fedha zote zilizotolewa na Serengeti jamaa katia ndani ili kujiandaa na uchaguzi.Kuna watu waajabu sana hivi unajitokeza kutetea mtu kama Malinzi!. Kila nikimfikiria yule Nahodha wa Serengeti Boys aliyetelekezwa napata hasira sana na hao watu!
Hata za Simba ni za umma wa wana Simbamnamuona malinzi tu je maney loundering ya simba ni za uma? mwizi ni mwizi na wakiachwa serikali itaonekana ya ovyo takukuru kamata wote Hans Pop alishaonjeshwa bado MO na yeye. ajiandae
Huyu jamaa hastahili kuongoza soka. Pia nami nilijitahidi kumuona.Mkuu kuna watu wapuuzi sana, mimi nilifika kwa yule nahodha anaishi mazingira magumu sana, anasema walipewa nauli na fedha ya kula njia hawajalipwa posho wote. Ina maana fedha zote zilizotolewa na Serengeti jamaa katia ndani ili kujiandaa na uchaguzi.
Nimejikuta nacheka tu !Kwahiyo wachezaji wa simba ni watumishi wa umma? Wakishikilia nyasi za simba wakitaka kodi saizi muda wa usajili wachezaji wanapewa mamilioni ivi wanajua hela inatoka wapi
Nadhani unapaswa kwanza kujua nini maana ya "uma"
Serikali kutoingilia masuala ya soka... je wizi ni suala la soka?
Uhalifu ni uhalifu tu. Au kwamfano Malinzi angefanya mauaji angeachwa kwakuwa FIFA imekataza serikali kutoingilia masuala ya soka?
Kazi yetu vidonge ni kutuliza maumivu au kutibu. Nimetimiza wajibu wetu.Kama hajakuelewa hapa basi hatokuja kuelewa tena. Safi sana Mkuu nimelipenda jibu lako ulilompa kwani ni ' Kuntu '.
Hata mchango wa FIFA kwa TFF ni fedha za umma.Nimeuliza makusudi ili nipate ufafanuzi .
Kuna fungu lolote kutoka serikalini linatengwa na kuingizwa kwenye akaunti ya TFF ? Nakumbuka wakati wa FAT ya Muhidin Ndolanga , FIFA ilipiga Marufuku kwa serikali kuingilia masuala ya soka , sasa siku hizi FIFA wamebadili msimamo wao ?
Je hela zile ni za Umma ama ni mchango wa FIFA kwa TFF ?
Kazi yetu vidonge ni kutuliza maumivu au kutibu. Nimetimiza wajibu wetu.
Pamezuka mtindo wa mawakili huru JF kutetea uovu alimradi pawe na pande mbili jinai zinawekwa wazi kisha pana watu wanajitoa ufahamu na kutetea ndipo tulipofika hapa ndugu.Kuna watu waajabu sana hivi unajitokeza kutetea mtu kama Malinzi!. Kila nikimfikiria yule Nahodha wa Serengeti Boys aliyetelekezwa napata hasira sana na hao watu!
Huyo nahodha anaishi maeneo gani? Nahitaji kwenda kumuona..Mkuu kuna watu wapuuzi sana, mimi nilifika kwa yule nahodha anaishi mazingira magumu sana, anasema walipewa nauli na fedha ya kula njia hawajalipwa posho wote. Ina maana fedha zote zilizotolewa na Serengeti jamaa katia ndani ili kujiandaa na uchaguzi.
Mwesigwa alimtembelea huyo dogo majuzi kati ila kijana huyo pia alionekana na mtoto wa 2 yrs!!!Mkuu kuna watu wapuuzi sana, mimi nilifika kwa yule nahodha anaishi mazingira magumu sana, anasema walipewa nauli na fedha ya kula njia hawajalipwa posho wote. Ina maana fedha zote zilizotolewa na Serengeti jamaa katia ndani ili kujiandaa na uchaguzi.
Hii dunia imejaa uovu hata shetani anapata wateteziPamezuka mtindo wa mawakili huru JF kutetea uovu alimradi pawe na pande mbili jinai zinawekwa wazi kisha pana watu wanajitoa ufahamu na kutetea ndipo tulipofika hapa ndugu.
Hazina, ukiuliza kwa Mzee Makamba unaonyeshwaHuyo nahodha anaishi maeneo gani? Nahitaji kwenda kumuona..
Aache uongo. Tena anapata dhambi sana na ndio maana yanamkuta mabaya. Hayo analiyoyasema hayana ukweli. Sidhani kama alishawahi fika Hazina kwa Mzee Makamba. Wanatafuta sababu ya kumtompa matibabu.Mwesigwa alimtembelea huyo dogo majuzi kati ila kijana huyo pia alionekana na mtoto wa 2 yrs!!!