Hizi kazi za kua jiliwa ni ushirkina mtupu tena wewe una bahati rafiki yangu baada ya kupandishwa cheo alibadilisha na hao hao co-workers akawa anawika kama jogo kila baada ya lisaa, alishauliwa ache kazi, paka leo iko nyumbani..........pesa sio kitu bora afya na amani