Mkuu, ulishasema hapa jf kuwa wewe ni "agnostic".
Sasa naomba kuuliza, is it possible to be "agnostic christian"?
If yes/no why?
Wewe upo upande upi wa agnotism?
Karibu sana.
Kwa asiye fahamu: agnostic ni mtu asiye na hakika na anahisi ni vigumu "kujua" kama mungu yupo/hayupo.
Kwa hiyo agnostic-christian ni mtu asiye na hakika kama mungu yupo/hayupo ila ni muumini wa ukristo.
JF Senior Expert Member
Array
Join Date : 28th January 2012
Posts : 850
Rep Power : 527
Likes Received:242
Likes Given: 1
Mkuu mkiva bila shaka hiyo Like ulitoa kwa mama Elizabeth Dominic wakati unamfatilia.......... :yo::yo::yo: