Imani ni jambo la binafsi sana na kwa vile imani si kitu kinachoweza kuonekana, kushikika, kunuswa, kusikika, au kuonjeka, ni vigumu sana kujua kina cha imani ya mtu.
Ni mtu mmoja mmoja tu, kwa maana ya yeye kama yeye ndiyo anaweza kusema imani au mashaka yake juu ya uwepo wa mungu ni kiasi gani.
Kwa mfano, mimi siwezi kujua kina cha imani ya Papa Francis juu ya uwepo wa mungu. Wewe unaweza?
Nadhani anachojaribu kusema yeye ni kwamba hakuna mtu mwenye imani ya kuweza kuondoa doubts juu ya exisitence ya mungu.
Sasa sijui yeye amewezaje kutambua imani za wengine.
I don't understand what is wrong as long dini zote zililetwa kwa mashua na merikebu za wazungu na waarabu.Anavyosema 'hakuna' anasema kama matter of opinion au matter of fact?
Anavyosema 'hakuna' ni anasema kama matter of opinion au matter of fact?
Imagine if we lived in a world where there was no religion!!
Would it take the term "Blind Faith" to another level?
Or would the concept of faith be destoyed altogether?
Anavyosema 'hakuna' ni anasema kama matter of opinion au matter of fact?
Read Psalm 14:1
Kwamjibu wa BIBLIA ni bayana ya mambo yatalajiwayo yatakayo kuja baada, na chanzochake ni kusikia
You are going to die!
Umebanwa na mkojo wewe!
Anavyosema 'hakuna' ni anasema kama matter of opinion au matter of fact?
Nakuombea kwa Mungu akusamehe. Tena usiku huu nikiwa hapa hotelini nilikofikia tena hapa mjini kwako (Westin Copley place) nakuombea. Nikimaliza maombi naenda Cambridge area kuwatafuta wana maombi wenzangu tuzidi kukuombea
Hapa tunaongea about faith na sio cardinal ruleMkuu ndege ikitumbukia baharini cardinal rule ni kwamba kabla hujamsaidia jirani kuvaa airbag inabidi kwanza uvae la kwako.
Hapa tunaongea about faith na sio cardinal rule
I think the word "faith" might have more than religious use but if we would take it into religious account, then it wouldn't require no one to destroy it as it wouldn't existed.
Anachoshauri Bishanga ni wewe kuwa na hakika kuwa uko salama kwanza, hata kama ni kiimani.
Unakumbuka mfano wa boriti na kibanzi?