Kwa mwanaume utaandaliwa maji ya kuoga yenye iliki,utabebwa mgongoni mpaka bafuni,utavuliwa nguo ,na kusuguliwa mgongo na mabusu ya haja.mkimaliza kuoga unakuta chakula wali wa nazi tayari kwa maharage ya yenye tui la nazi na nyama ya mbuzi..
Je utahitaji bango la kwa heri hapo?
Hivi kwa nini uingiapo Tanga kuna kibao cha "karibu Tanga" lakini ukigeuza hakuna cha kwaheri Tanga?
SIO KWELI, Korogwe rd. kipo kibao Kange, Horohoro rd. kipo kibao Amboni, na Pangani rd. kipo kibao Mwahako, vyote vinasema KWAHERI JIJI LA TANGA-KARIBU TENA.
Haya ni mambo ya kiserikali zaidi sio kimahaba kama inavyoaminika. Najua Tanga ni WAKARIMU hata mimi nina himaya huko!

Tanga kuna karibu..hakuna kwa heri. Maana yake ni ngumu sana kuaga.
Mama yangu ana asili ya Tanga nami mambo mengi nimejifunza pale pale Makorora kwa bibi. jibu lako banana man ni hili, wanatanga ni wakarimu sana, wanataka ukifika usirudi tena ulipotoka. karibu TANGA bishanga.
Hahahaaaa..... Umenikumbusha katika mpaka wa Mkoa wa Mwanza na Mkoa wa Mara kuna vibao vifuatavyo:-
Cha kwanza ukiwa unaingia Mkoa wa Mwanza ukitokea Mkoa wa Mara kuna kibao kinachosomeka "KARIBU MKOA WA MWANZA
Cha pili ukiwa unaingia Mkoa wa Mara ukitokea Mkoa wa Mwanza kuna kibao kinachosomeka "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA
Unajua ni kwanini vibao hivi vinatofautiana???
Ngoja wadau wa huko wakujibu....
Kujeni hapa akina platozoom, @C6, ThinkPad, Mwita Maranya na wengineo.....