Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
 
20230523_112627.jpg
 
Yale mafisadi yapo humu uzi wao pendwa ni kula kimasaara

Usiwachukulie sirias hao wanafanya siasa za tumbo na mama amewaambia hewala lamben tu achali
sioni ufisadi wao maana hawako kwenye system. Umewasingizia
 
Wanaogopa spana baada ya kugeuka kuwa WATETEZI WA MAFISADI na MACHEKIBOBU YA MSOGA.
 
Kama rais na spika wamo humu kama wanavyodadavua kuwa wanapitia comments jf kwa nini wao wasiwemo? Vigogo wengi wamo humu na tunanyukana nao kwa hoja bila kuwatambua, hata wao wamo
 
Tunaweza sema wapo humu?, na wasaidizi wao wamo humu, vibaraka wao wako humu.

Utawajua tu kwa mihasira yao na majibu yao humu? Yaani jinsi wanavyohubiri mitaani ndivyo wanavyohubiri humu.

Hawana uthubutu huo!
 
Tunaweza sema wapo humu?, na wasaidizi wao wamo humu, vibaraka wao wako humu.

Utawajua tu kwa mihasira yao na majibu yao humu? Yaani jinsi wanavyohubiri mitaani ndivyo wanavyohubiri humu.

Hawana uthubutu huo!
Wapo humu wote wao wenyewe
 
Silaa hamia chama chochote uchue nchi yaani utapita kama kumsukuma mlevi
 
Wapo humu wote wao wenyewe

Natumaini ndiyo wale wanaopena ma laiki na disilaiki.....katiba mpya vs maridhiano. Wacha nicheke tu, manake wanaweza kuwa wanapigana madongo humu bila kujuana ila wanajuana! Wanaita Demokrasia
 
Mtaendelea kuweweseka sana.
Na hamtakuja kupana amani ya mioyo yenu daima
Mda wote mnawawaza tu.
Na bado.
 
Back
Top Bottom