SWALI LA KIZUSHI KWENU

SWALI LA KIZUSHI KWENU

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Wasichana watatu walikuwa wanaoga katika bafu moja wakiwa uchi, ghafla mvulana mmoja akatokea.
Msichana wa kwanza akaficha matiti yake
Msichana wa pili akaficha uchi wake
Msichana wa tatu akaficha uso wake.

Je, ninani kati ya hao wasichana alitumia hekima?
 
Akatokea wap?
Matiti yake Nani?
USO wake Nani?
Uchi wake Nani?

Jibu: kwakua mvulana hana matiti bado aliyeficha uchi atakua alitumia hekma
 
Huyo aliyeficha uchi, je! Uchi wa nyuma au wa mbele.? Na isitoshe ameona viungo vyote vya mwili huyo mjamaa. Wote ni wapumbavu tu.
 
Hivi wanaume wa3 wanaweza oga bafu moja kwa wakati mmoja?
 
Wangapi wameelewa aliyeficha uso alikuwa anategemea nini?
 
Wote hawana akili sawasawa.hapo mchizi kashaona vyote,matiti kwa aliyejifunika uso,uchi kwa aliyefunika matiti na uso kwa aliyefunika uchi.HALAFU MWAMBIE HUYO JAMAA AACHE UPHALLER.🚶🏼🚶🏼🚶🏼
 
Hilo bafu liko maeneo gani niwahi kabla hawajamaliza kuoga
 
Back
Top Bottom