Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nashangazwa na jinsi wanavyopangilia majaraja ya darsa la 7 2013,mfano mwanafunzi anapata A moja au mbili na zingine B anawekewa daraja A,hii ni kichekesho.Sijui wametumia kigezo ana kupanga hizo alama............

We ndio kichekesho sasa!!! Tuache kuwa negative kwa kila kitu, hebu kokotoa hii heasbu halafu uniambie wamekosea wapi!
Kama A = 81-100%
B = 61-80%
1. Hesabu 92 = A, Kiswahili 80 = B, Kiingereza 80 = B, Science 80 = B na Maarifa 78 = B
2. Hesabu 76 = B, Kiswahili 96 = A, Kiingereza 78 = B, Science 78 = B na Maarifa 78 = B
Kokotoa halafu urudi hapa kuomba msamaha.

kaka inawezekana kabisa hata dogo wangu ana wastani a
eti stan ukipata a au b unaenda shule ya kata au? Mimi nina b.

Watanganyika wivu wa kike unatupeleka kubaya. Madogo wakifeli - majungu, wakipasua - majungu! Vibaya hivyo! Mtu kama unaona wawefaidika na mfumo huo, si rudi Darasa la Saba ili na wewe upate dDaraja A?
We ndio kichekesho sasa!!! Tuache kuwa negative kwa kila kitu, hebu kokotoa hii heasbu halafu uniambie wamekosea wapi!
Kama A = 81-100%
B = 61-80%
1. Hesabu 92 = A, Kiswahili 80 = B, Kiingereza 80 = B, Science 80 = B na Maarifa 78 = B
2. Hesabu 76 = B, Kiswahili 96 = A, Kiingereza 78 = B, Science 78 = B na Maarifa 78 = B
Kokotoa halafu urudi hapa kuomba msamaha.
We ndio kichekesho sasa!!! Tuache kuwa negative kwa kila kitu, hebu kokotoa hii heasbu halafu uniambie wamekosea wapi!
Kama A = 81-100%
B = 61-80%
1. Hesabu 92 = A, Kiswahili 80 = B, Kiingereza 80 = B, Science 80 = B na Maarifa 78 = B
2. Hesabu 76 = B, Kiswahili 96 = A, Kiingereza 78 = B, Science 78 = B na Maarifa 78 = B
Kokotoa halafu urudi hapa kuomba msamaha.
We ndio kichekesho sasa!!! Tuache kuwa negative kwa kila kitu, hebu kokotoa hii heasbu halafu uniambie wamekosea wapi!
Kama A = 81-100%
B = 61-80%
1. Hesabu 92 = A, Kiswahili 80 = B, Kiingereza 80 = B, Science 80 = B na Maarifa 78 = B
2. Hesabu 76 = B, Kiswahili 96 = A, Kiingereza 78 = B, Science 78 = B na Maarifa 78 = B
Kokotoa halafu urudi hapa kuomba msamaha.
great sinker..!Jamani nashangazwa na jinsi wanavyopangilia majaraja ya darsa la 7 2013,mfano mwanafunzi anapata A moja au mbili na zingine B anawekewa daraja A,hii ni kichekesho.Sijui wametumia kigezo ana kupanga hizo alama............
We ndio kichekesho sasa!!! Tuache kuwa negative kwa kila kitu, hebu kokotoa hii heasbu halafu uniambie wamekosea wapi!
Kama A = 81-100%
B = 61-80%
1. Hesabu 92 = A, Kiswahili 80 = B, Kiingereza 80 = B, Science 80 = B na Maarifa 78 = B
2. Hesabu 76 = B, Kiswahili 96 = A, Kiingereza 78 = B, Science 78 = B na Maarifa 78 = B
Kokotoa halafu urudi hapa kuomba msamaha.
Kwa kigezo cha wastani ni sawa,lakini kama wangetumia mfumo wa GPA isingekuwa hivyo,naamini kwa utaratibu huo waliotumia hawaitendei haki 'A'We ndio kichekesho sasa!!! Tuache kuwa negative kwa kila kitu, hebu kokotoa hii heasbu halafu uniambie wamekosea wapi!
Kama A = 81-100%
B = 61-80%
1. Hesabu 92 = A, Kiswahili 80 = B, Kiingereza 80 = B, Science 80 = B na Maarifa 78 = B
2. Hesabu 76 = B, Kiswahili 96 = A, Kiingereza 78 = B, Science 78 = B na Maarifa 78 = B
Kokotoa halafu urudi hapa kuomba msamaha.
Usijali kama ulisomea kayumba hutaenda shule ya kata lakini kama ulisomea English Medium hata kama una A kata inakuhusu