tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
He! Darasa la Saba tayari Memba JF? Aisee, na-log off!
Siyo vizurk kuwabagua wenzako kwa kuwa wewe umesoma.Kuwa member wa JF siyo lazima uwe na PhD hakuna sharti la kiwango cha elimu.Labda nikuulize, una kiwango gani cha elimu. Kama una masters nafunga computer,kwani kiwango chako cha elimu ni kidogo.
Au utuambie kiwango cha elimu kinachohitajika hapa JF.