Swali la kizushi:Mwanafunzi anapata B nne na A moja- anapewa daraja A STD 7?Hii kali........

Swali la kizushi:Mwanafunzi anapata B nne na A moja- anapewa daraja A STD 7?Hii kali........

He! Darasa la Saba tayari Memba JF? Aisee, na-log off!

Siyo vizurk kuwabagua wenzako kwa kuwa wewe umesoma.Kuwa member wa JF siyo lazima uwe na PhD hakuna sharti la kiwango cha elimu.Labda nikuulize, una kiwango gani cha elimu. Kama una masters nafunga computer,kwani kiwango chako cha elimu ni kidogo.
Au utuambie kiwango cha elimu kinachohitajika hapa JF.
 
Kwa kigezo cha wastani ni sawa,lakini kama wangetumia mfumo wa GPA isingekuwa hivyo,naamini kwa utaratibu huo waliotumia hawaitendei haki 'A'

Unasoma/umesoma chuo gani?

GPA zikpje zikoje?

Na je, kwenye yale matokeo ule ni wastani au GPA?
 
Unasoma/umesoma chuo gani?

GPA zikpje zikoje?

Na je, kwenye yale matokeo ule ni wastani au GPA?

Kma ni grade wangepanga kwa grade (GPA),na kama ni wastani inakuwa ni wastani,si kuchanganya....period...........
 
Jamani nashangazwa na jinsi wanavyopangilia majaraja ya darsa la 7 2013,mfano mwanafunzi anapata A moja au mbili na zingine B anawekewa daraja A,hii ni kichekesho.Sijui wametumia kigezo ana kupanga hizo alama............

Pole sana. Umeishia darasa la ngapi? Unakumbuka hesabu za wastani?
 
Siyo vizurk kuwabagua wenzako kwa kuwa wewe umesoma.Kuwa member wa JF siyo lazima uwe na PhD hakuna sharti la kiwango cha elimu.Labda nikuulize, una kiwango gani cha elimu. Kama una masters nafunga computer,kwani kiwango chako cha elimu ni kidogo.
Au utuambie kiwango cha elimu kinachohitajika hapa JF.

me nafikiri hakuwa na maana ya kiwango cha elimu but naona alikuwa anamaanisha umri( katika hari ya kawaida mtoto anayemaliza darasa la saba tunategemea umri wake ni chini ya 14)
 
Pole sana. Umeishia darasa la ngapi? Unakumbuka hesabu za wastani?
Sema usemavyo, A haikutendewa haki....basi......,wewe ndo unastahili kuwashauri hao NECTA/wizara wanatupa majibu BRN wakati watoto hawakuwa na kiwango hicho.........
 
Back
Top Bottom