ngoja atoke migombani, atakuja sasahiviMiss chagga tokea pande hizi
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Bado yupo. Ila naye anakasoro zake..Dah hongera mkuu bado yupo?
Ninaamini usemayo PaprikaTupooooo! Mimi wala sikuombi kabisa hela ya nywele...
Hahaha loooh ebu kunywa maji hapo ulipoViumbe kama hawa hawapo hata siku na moja.
Mademu wa siku hizi umpe laki moja then achukue elfu 15 tu zingine akurudishie?
Hapana kwa kweli maana wakati ukiwa unazitoa tu hivi demu akiwa anaziangalia lazima muda huo mate yamemujaa mdomoni kama kaona ukwaju vile.
Na chupi lazima ilowane kwa kuona hela nyingi aiseee!!
Napita tu......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ninywe maji bili kwa?[emoji85]Hahaha loooh ebu kunywa maji hapo ulipo
Daah mkuu umejiopoleeaa, na ndo mana nliwah kuoa sred moja humu imebeba taito "NAMPENDA SANA MAHONDAW" kumbe ana maajabu yake??
jina lako lenyew limekaa kiwizi wizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tupooo
Hahahaha!!Nadhani kwa mtumiaji[emoji4] [emoji4]
aseejina lako lenyew limekaa kiwizi wizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]