Swali la kizushi

Swali la kizushi

Viumbe kama hawa hawapo hata siku na moja.

Mademu wa siku hizi umpe laki moja then achukue elfu 15 tu zingine akurudishie?

Hapana kwa kweli maana wakati ukiwa unazitoa tu hivi demu akiwa anaziangalia lazima muda huo mate yamemujaa mdomoni kama kaona ukwaju vile.

Na chupi lazima ilowane kwa kuona hela nyingi aiseee!!

Napita tu......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaha loooh ebu kunywa maji hapo ulipo
 
Ukikutana nae wa aina hiyo, kimbia... Sio mwanamke wa kawaida huyo...
 
Inafurahisha sana..

Wapo sana... Kama mahondaw wangu... Mpaka namsemaga kwa nini huniombi pesa, ingawa wote tunafanya kazi but at least niombe ombe vitu hata nihangaishe akili basi... Lakini naweza mpa pesa, kama hana shida nayo atanirudishia au nitakuta hajaitumia...

Cc: mahondaw
 
Daah mkuu umejiopoleeaa, na ndo mana nliwah kuoa sred moja humu imebeba taito "NAMPENDA SANA MAHONDAW" kumbe ana maajabu yake??

Mahondaw [emoji28]
 
Back
Top Bottom