Swali la kizushi

Swali la kizushi

8546cd591240155afc0854d532747af2.jpg

[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Cc: miss chagaa kuna hela huku.....
 
Inafurahisha sana..

Wapo sana... Kama mahondaw wangu... Mpaka namsemaga kwa nini huniombi pesa, ingawa wote tunafanya kazi but at least niombe ombe vitu hata nihangaishe akili basi... Lakini naweza mpa pesa, kama hana shida nayo atanirudishia au nitakuta hajaitumia...

Cc: mahondaw

Kweli kabisa Smart911 love tupo kabisa ..Ile siku uliniwakia mpaka nikaogopa asee nusura unipige kabisa kisa kurudisha pesa lol thanks alot Smart911 sweetheart I'm so lucky having you love

Halafu ileee kitu ya juzi kati na weekend hii tena you know ilizidi ee ikabaki so this weekend tena

Thanks again sweetheart God bless you Smart911 my papito
 
ngoja na me nimtag naniliu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unajijua uwo uwezo unao, karibu Pm kesho tu natangaza ndoa. Wasije kukuweka makumbusho bureee.
 
Siku hizi wamebaki wale wanaoomba kununuliwa iPhone s7
 
Viumbe hawa WAPO, ila you should be very carefully my friend (wochi iti)
Anaweza kufanya hivi kukuteka kiakili ukajikuta unatoa zaidi hapo baadae au akawa na nia njema ya kuzuia matumizi zaidi (tabia na malezi vinahusika) Tafadhari usimhukumu haraka!
 
Kweli kabisa Smart911 love tupo kabisa ..Ile siku uliniwakia mpaka nikaogopa asee nusura unipige kabisa kisa kurudisha pesa lol thanks alot Smart911 sweetheart I'm so lucky having you love

Halafu ileee kitu ya juzi kati na weekend hii tena you know ilizidi ee ikabaki so this weekend tena

Thanks again sweetheart God bless you Smart911 my papito

Hahahaha... alafu hata hukutegema kuhusu zile... kwa sababu tulikuwa tunapiga story tu ukasema mmh ningepata kitu fulani ningefurahi... nikakuambia hapo hapo... haya nenda kachukue.. ukabaki umeduwaa... ati ukataka kuanza kuniwakia kwa nini nimekupa...
 
Back
Top Bottom