Nakumbuka niliwahi soma sehemu usipoonekana shuleni miezi 6 basi umeshajifukuzisha. mwenyewe.
Na hilo la kurudia LA Saba inawezekana ila urudie kwa jina la mtu mwingine.
Ruksa kusahihishwa.
Hapana ni siku 5 tu mkuu.Nakumbuka niliwahi soma sehemu usipoonekana shuleni miezi 6 basi umeshajifukuzisha. mwenyewe.
Na hilo la kurudia LA Saba inawezekana ila urudie kwa jina la mtu mwingine.
Ruksa kusahihishwa.
Ununue yaaniLol sasa kama ni kurudia kwa jina la mtu mwingine ni ruhusa ya vipi?
Inawezekana mkuu la sita miaka 20Au nirekebishe swali ni umri gani kwa Tanzania mwanafunzi anatakiwa awe ameshamaliza elimu ya sekondari.
Kama niliishia la sita sikufanya mtihani wa la saba inaruhusiwa kurudia la sita nikiwa na miaka ishirini?