Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 16, 2018 #1 Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu? Nawasilisha
Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu? Nawasilisha
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Jan 16, 2018 #2 Mkuu, Huyo ndio wewe unadoea msosi ki huruma hivyo [emoji14][emoji14][emoji14] Haijalishi muda gani utaondoka! Itategemea na perceptions yako au ya mwenye chakula. Hujawahi kuenda sehem kusalimia labda unaaga serious kabisa kuondoka ila anakuzuia ule kwanza!!?? Kunawengine uamini tu mgeni kula kwake ni kama baraka fulani, pia wengine ukienda kwake ataona umefwata kula tu[emoji38][emoji38]
Mkuu, Huyo ndio wewe unadoea msosi ki huruma hivyo [emoji14][emoji14][emoji14] Haijalishi muda gani utaondoka! Itategemea na perceptions yako au ya mwenye chakula. Hujawahi kuenda sehem kusalimia labda unaaga serious kabisa kuondoka ila anakuzuia ule kwanza!!?? Kunawengine uamini tu mgeni kula kwake ni kama baraka fulani, pia wengine ukienda kwake ataona umefwata kula tu[emoji38][emoji38]
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 16, 2018 #3 Ukimaliza kula tu, toa hudhuru nawa ondoka faster faster, na nyuma usigeuke... cc: mahondaw
mr mru2 Senior Member Joined Nov 13, 2017 Posts 100 Reaction score 79 Jan 16, 2018 #4 Ukimaliza tu jifanye umepigiwa sim ya haraka then chomoka[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Eng.Dullah JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 372 Reaction score 304 Jan 16, 2018 #5 Inategemea na mawazo yako kichwani maana hadi kuwaza hivo ni dhahili kweli msos ndo ulikupeleka, Itapendeza zaid usubr mulo mwngne ule ndo wasiwe na shaka nawe
Inategemea na mawazo yako kichwani maana hadi kuwaza hivo ni dhahili kweli msos ndo ulikupeleka, Itapendeza zaid usubr mulo mwngne ule ndo wasiwe na shaka nawe
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jan 16, 2018 #6 Anytime.. no limit
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jan 16, 2018 #7 LIKE Niku ADD said: Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu? View attachment 676840 Nawasilisha Click to expand... Unavua Na shati kabisa kwa chakula cha kudoea????
LIKE Niku ADD said: Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu? View attachment 676840 Nawasilisha Click to expand... Unavua Na shati kabisa kwa chakula cha kudoea????
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 16, 2018 Thread starter #8 Bujibuji said: Unavua Na shati kabisa kwa chakula cha kudoea???? Click to expand... Joto mkuu. Alafu Mwenyeji kashasema jiskie tu upo nyumbani.
Bujibuji said: Unavua Na shati kabisa kwa chakula cha kudoea???? Click to expand... Joto mkuu. Alafu Mwenyeji kashasema jiskie tu upo nyumbani.
popoma JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 2,378 Reaction score 3,363 Jan 16, 2018 #9 Ukishapakwa mafuta ndio uondoke
Mjasiri na Mali JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 5,366 Reaction score 14,167 Jan 16, 2018 #10 Baada ya saa 8 kuisha unaweza kuondoka hiyo huondoa wasi wasi kwa pande zote mbili
Will Billy JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 300 Reaction score 378 Jan 16, 2018 #11 baada ya masaa matatu ndo uondoke
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,817 Jan 16, 2018 #12 Baada ya kuvuliwa nguo ya ndani na kuchomekewa msumali maana unapenda vya bure bure
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 16, 2018 Thread starter #13 Alonso14 said: Baada ya kuvuliwa nguo ya ndani na kuchomekewa msumali maana unapenda vya bure bure Click to expand... inaonyesha hupendi wageni mkuu
Alonso14 said: Baada ya kuvuliwa nguo ya ndani na kuchomekewa msumali maana unapenda vya bure bure Click to expand... inaonyesha hupendi wageni mkuu
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,817 Jan 16, 2018 #14 LIKE Niku ADD said: inaonyesha hupendi wageni mkuu Click to expand... Huyo sio mgeni ni mlafi
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,723 Reaction score 4,286 Jan 16, 2018 #15 Ukimaliza osha viombo alafu sepa
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,564 Reaction score 55,570 Jan 16, 2018 #16 Duuuhh
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jan 16, 2018 Thread starter #17 jakitoo said: Duuuhh Click to expand... ushauri wako muhimu