Swali La Kizushi

Swali La Kizushi

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu?

N-Dex eating Fufu @ Nana Ama's.jpg

Nawasilisha
 
Mkuu,

Huyo ndio wewe unadoea msosi ki huruma hivyo [emoji14][emoji14][emoji14]

Haijalishi muda gani utaondoka! Itategemea na perceptions yako au ya mwenye chakula.

Hujawahi kuenda sehem kusalimia labda unaaga serious kabisa kuondoka ila anakuzuia ule kwanza!!??

Kunawengine uamini tu mgeni kula kwake ni kama baraka fulani, pia wengine ukienda kwake ataona umefwata kula tu[emoji38][emoji38]
 
Ukimaliza tu jifanye umepigiwa sim ya haraka then chomoka[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Inategemea na mawazo yako kichwani maana hadi kuwaza hivo ni dhahili kweli msos ndo ulikupeleka, Itapendeza zaid usubr mulo mwngne ule ndo wasiwe na shaka nawe
 
Baada ya kuvuliwa nguo ya ndani na kuchomekewa msumali maana unapenda vya bure bure
 
Ukimaliza osha viombo alafu sepa
 
Back
Top Bottom