Swali la kizushi....!

siku nzima nakula msosi maana sisi wengine suala la kula saa nzima sio ishu,kiasi cha msosi ndo ishhu. so kama chakula ni cha kutosha kiasi kwamba uanaweza kula siku nzima basi tutashinda tunakula tu............ haijalishi,mpaka aseme amechoka!!!!!!

kadiri unavyosikia njaa ndivyo unavyokula

It depends on phyisical fittnes and mind,
Jamani, jamani.... wako wapi MwanajamiiOne, Firstlady1 na Mzee Mwanakijiji waokoe kizazi hiki? Naombeni mashairi ya kuelimisha watu hawa....!

Kama mko wenyewe nyumbani ni kila time tuu na mahali popote sebuleni, jikoni, bafuni , korido ni muda wote
Duh....! Style hii ni ya ubunifu kweli.....!

Nadhan mlo mmoja unatosha hasa wa yule mdudu,issue itakuwa vinywaji tu.
Mdudu gani tena huyo? Dagaa, au samaki waliodumaa? Na je, hivyo vinywaji ni vipi? Vya bombani, ama vya kisimani?
 
Watoto inabidi walazimishwe kwenda kucheza! Nakumbuka kauli kama hii ya JK alipowatembelea waanga wa mafuriko Kilosa..
 
Nitakula chipsi mayai mchana,jion mchemsho.
 
mi mara moja alafu nakula kama nusu saa...huwa simalizi mlo wa pili au inanichukua muda mrefu sana kumaliza
 
mi mara moja alafu nakula kama nusu saa...huwa simalizi mlo wa pili au inanichukua muda mrefu sana kumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…