IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
It depends on phyisical fittnes and mind,
other things being equal,......how many
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It depends on phyisical fittnes and mind,
Mara tatu asubuhi mchana na usiku.
siku nzima nakula msosi maana sisi wengine suala la kula saa nzima sio ishu,kiasi cha msosi ndo ishhu. so kama chakula ni cha kutosha kiasi kwamba uanaweza kula siku nzima basi tutashinda tunakula tu............ haijalishi,mpaka aseme amechoka!!!!!!
kadiri unavyosikia njaa ndivyo unavyokula
Jamani, jamani.... wako wapi MwanajamiiOne, Firstlady1 na Mzee Mwanakijiji waokoe kizazi hiki? Naombeni mashairi ya kuelimisha watu hawa....!It depends on phyisical fittnes and mind,
Duh....! Style hii ni ya ubunifu kweli.....!Kama mko wenyewe nyumbani ni kila time tuu na mahali popote sebuleni, jikoni, bafuni , korido ni muda wote
Mdudu gani tena huyo? Dagaa, au samaki waliodumaa? Na je, hivyo vinywaji ni vipi? Vya bombani, ama vya kisimani?Nadhan mlo mmoja unatosha hasa wa yule mdudu,issue itakuwa vinywaji tu.
other things being equal,......how many
Ni mlo gani tena huo wa kihindi? Au wa kufumba macho...?
<br />Mara tatu asubuhi mchana na usiku.