Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 May 6, 2020 #1 Eti kwa mfano Umekwenda Dukani Na elfu Kumi! Kununua Sumu ili Ujiue! Kuna haja ya kusubiri chechi!!! ebu tiririka hapo chini maoni yako!
Eti kwa mfano Umekwenda Dukani Na elfu Kumi! Kununua Sumu ili Ujiue! Kuna haja ya kusubiri chechi!!! ebu tiririka hapo chini maoni yako!
mc gregor JF-Expert Member Joined Mar 17, 2017 Posts 1,121 Reaction score 2,193 May 6, 2020 #2 Great God said: Eti kwa mfano Umekwenda Dukani Na elfu Kumi! Kununua Sumu ili Ujiue! Kuna haja ya kusubiri chechi!!! ebu tiririka hapo chini maoni yako! Click to expand... Inategemea na una mpango wa kujiua mda gani Sent using Jamii Forums mobile app
Great God said: Eti kwa mfano Umekwenda Dukani Na elfu Kumi! Kununua Sumu ili Ujiue! Kuna haja ya kusubiri chechi!!! ebu tiririka hapo chini maoni yako! Click to expand... Inategemea na una mpango wa kujiua mda gani Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 May 6, 2020 #3 Unaweza kutumia huko unapoelekea baada ya kujinyonga kwanini uache.
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 May 6, 2020 Thread starter #4 mc gregor said: Inategemea na una mpango wa kujiua mda gani Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa hiyo chenchi ni ya nini!! Wakati unakufa au unaenda nayo kuitumia mbinguni🤣🤣
mc gregor said: Inategemea na una mpango wa kujiua mda gani Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa hiyo chenchi ni ya nini!! Wakati unakufa au unaenda nayo kuitumia mbinguni🤣🤣
mc gregor JF-Expert Member Joined Mar 17, 2017 Posts 1,121 Reaction score 2,193 May 6, 2020 #5 Great God said: Sasa hiyo chenchi ni ya nini!! Wakati unakufa au unaenda nayo kuitumia mbinguni🤣🤣 Click to expand... Elewa kwanza concept ya mda hapo. Kama unaenda kujinyonga baada ya week moja inamaana io week nzima hana matumizi? Sent using Jamii Forums mobile app
Great God said: Sasa hiyo chenchi ni ya nini!! Wakati unakufa au unaenda nayo kuitumia mbinguni🤣🤣 Click to expand... Elewa kwanza concept ya mda hapo. Kama unaenda kujinyonga baada ya week moja inamaana io week nzima hana matumizi? Sent using Jamii Forums mobile app
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 May 6, 2020 Thread starter #6 Sasa hapo ni siku hiyo hiyo sisi hatutaki week hiyo chenchi itakuwa sadaka kwa mwenye duka
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 8, 2020 #7 Chenji muhimu naan huwez jua wakat unaenda mbinguni ukakuta soko la bidhaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Chenji muhimu naan huwez jua wakat unaenda mbinguni ukakuta soko la bidhaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 May 8, 2020 #8 Naomba nielewe maana ya chechi kwanza ndio nijue kama kuna haja au hakuna Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nielewe maana ya chechi kwanza ndio nijue kama kuna haja au hakuna Sent using Jamii Forums mobile app
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 May 8, 2020 #9 Mi ntachukua chenchi yangu nikibadilisha mawazo si naenda kununua maziwa😅