Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua vidume kua tumetoka ku chepuka.
Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake zetu hapa wametoka kuchepuka?
Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake zetu hapa wametoka kuchepuka?