Swali la kufikirisha: Hivi mwanaume unaweza kumgundua mke/girlfriend wako kuwa hapa ametoka kufanya mapenzi na mtu mwingine?

Mkuu nina watoto wawili kutoka kwa mwanamke mmoja so naelewa
 
I wish atokee mwanamke aliyewahi kuruka na mtu zaidi ya mmoja kwa kupishana muda mdogo ili atoe ushuhuda. Mimi nawajua wanawake ambao wameshafanya hivyo.

The only way ni akikukubalia tu. Nje ya hapo itakua ni assumptions zako tu ambazo yeye ndiye wa kuziconfirm au kudeny.

Pia kuna watu wanadai K iliyotoka kushonwa inakua tepe tepe na ikikojolewa ndani ndiyo kabisa lazima ujue. Hapa katika uzi wa kula kimasikhara kuna member sitamtaja alikula binti, na akakojolewa ndani, na binti akarudi kwa bwana ake ambaye kabla ya kumshona binti akanyonya K kwanza.

Na hakujua.

Mwanamke akiwa aroused anakua wet. Akiwa kakojolewa ndani hizo shahawa hazibaki hua zinatoka nje na kuacha umaji maji ambao wewe ukiukuta utasema binti yupo aroused.

Mla Bata Sakasaka Mao
 
Sahani tena ukinge mijibao mweeeeee. Ugoro utapata wapi. Au kuberi zile za wahindi pia zinafaa hahahaha. Na huyo dem atakaekuubal kuchutamiishwa hivo hana akili.
Ugoro unapatikana Kariakoo Shimoni, hiyo ndio njia ya kijadi sasa kama hata mkeo unashindwa kumbana basi ujue wewe mke ndio anakuendesha na utaendelea kugongewa tu. Wazee wetu ndio walikuwa wanatumia njia hiyo
 



Kuna wakati JF ni vichekesho na full ujinga ujinga
 
Kama alitoka chooni akasahau kufunga jee? Daah.. mtu unaweza kuhukumiwa ivi ivi kimbe hata huna kosa.
 
Ooh sawa, tutakuwa tunajinusisha ugoro na kupiga chafya hukohuko tunakotoka
 
Wakuu kutokana na Uzoefu wangu wa miaka kadhaa katika hii industry itoshè tu kusema kuwa mzigo uliotoka kuchakatwa Unajulikana mimi huwa najua tu kuwa Hii lami imeshachimbuliwa kwahiyo napambana tu na hali yangu wazungu waje halafu namtimua sirudii bao la pili
 
Huwezi kujua ever labda mtu aseme

au umkague ukute michubuko
 
Kama alitoka chooni akasahau kufunga jee? Daah.. mtu unaweza kuhukumiwa ivi ivi kimbe hata huna kosa.
Hao walikuwa wanajuana tabia zao siku nyingi.

Ila shukurani kwa kututetea.
 
ndugu lazima ujue kama ni kitu yako umeizoea ikiingia nyingine lazima kunakuwa kama na kiutofauti flani hivi yaani kukielezea kiukweli inakua ngumu ila lazima ujue na ndio maana mademu wanakutanguliza wewe afu anaenda kucheouka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…