Swali la leo: Je, ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Swali la leo: Je, ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Wachina wanaume wana kasumba ya kutokula mapapai, wanaamini mapapai kazi yake ni kuongeza "maziwa" na hivyo ni mahususi kwa wamama pekee
 
Wadau poleni kwa msiba

Nazungumzia ubuyu unaotumiwa kama tunda au chakula ukipendwa zaidi na wamama na ukiwa na rangi tofauti tofauti maarufu zaidi rangi nyekundu.

Ninapenda jua kama ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Karibuni kwa ushauri.
mle lakini kwa kujificha sipati picha mkaka na pakti la ubuyu kwenye bus uwiiii
 
Sijambo mpendwa... kwanini uliamua kunitosa hivyo?

Heri ya mwaka mpya mjukuu mpenzi
Daa mie sijambo namshukuru MUNGU mwaka mpya tupo nao
Sijakutosa babu tatizo Bibi anakufungia sana
 
Vitu vingine kula tu mzee achana na mambo ya kijinsia, kula ubuyu
 
Wadau poleni kwa msiba

Nazungumzia ubuyu unaotumiwa kama tunda au chakula ukipendwa zaidi na wamama na ukiwa na rangi tofauti tofauti maarufu zaidi rangi nyekundu.

Ninapenda jua kama ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Karibuni kwa ushauri.
hv unajua unapokuwa unukula/unamung'unya ubuyu n kama unakuwa unanyonya k
Ko wengi wala ubuyu ndo mambo yao hayo🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wanaume tuna tabu sana ,. Yaani tumejiwekea vigingi tele katika jina la uanaume, no wonder tunakufa mapema na kuwaacha hao tunaowadharau wakipeta na maisha.
Imagine kula ubuyu linaonekana ni jambo mwanaume hastahili ?
 
Back
Top Bottom