Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

danimutta

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
273
Reaction score
351
Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi cha miaka 15 (tangu 2009) kima cha chini cha pensheni kimeboreshwa mara mbili tu kwa GNs.206/2009 na 285/2015 basi.

Kwahiyo tangu utawala wa Rais Kikwete na Waziri S. Mkuya serikali ya CCM haijawahi kuongeza pensheni kima cha chini kutoka laki 1! Hizo porojo za Katambi na Mwigulu kuhusu mapitio ya miaka mitatu wastaafu tumezichoka na Mbunge Ruhoro na watetezi wenzake wasiridhishwe na majibu potofu kama anavyofanya Katambi.
 
Back
Top Bottom