Swali la Msingi: Mh. Spika Baada ya Mchango mkubwa wa Mch. Msigwa kwa Samia, Je si vizuri sasa kumkumbuka?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo.

Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika.

Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch. Msigwa na picha yake nchi nzima kumtangaza je si vyema kwa sasa kumkumbuka angalau kwa kumpa uDC au uRC? Maana mwenzetu alijitahidi kujitoa akili sana.

Na je huu ukimya ambao amekuwa nao ni mapumziko au majuto kwa kile ambacho kimetokea october 29/25 cha maukimbali?

Mheshimiwa Spika. Akumbukwe Mchumbaji Msigwa. Aka Mzee wa Akili kubwa kutoongozwa na akili ndogo


 
nonsense
 
Kuna pdf lipo njiani huenda akakumbukwa.
 
Sasa hivi nchi ina watu wengi sana, sio rahisi kumpa ulaji kila mpiga debe wa mfumo.
 
Disposed off like a sanitary pad
 
Wakati wote thamani ya kondomu huishia kwenye bao. Fisiemu walishapiga bao sasa ni zamu ya mchungaji hewa kuwa kwa waste bin na uchafu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…