[emoji1] [emoji1]Eti kama offer
[emoji23][emoji23][emoji23]
In love with united
Wengine wanasumbua sana mpaka kutishia usiposema nakublockHahahahhaha ni vizuri kutokutaja au kuelezea mbinu ulizotumia kupata namba ya simu au address au jina lake.
Being loyal.
Hapo mdada wa Dar atasonya kama honi ya gari.
Atasonya kwa hilo jibu.Takwinyaa, habari ikoo...!!
Kisa cha kusonya ni nini?
Atasonya kwa hilo jibu.
Nipo umepotea kama mkojo wa kuku.
Hizi za babu zimefikaza.Hahahahahha una uzoefu nao hapo kwenye kusonyaa??!! Anyaways waache na misonyo yao wewe pata unachotaka.
Wewe Ndo umepotea na kuonesha kuwa hutaki kuonekana hadi avatar umebadilisha.....
Haahahahahahaaa Masai weewee... Ati mkojo wa kuku.
Basi heri kuwa uko salama na nzima wa afya. Ukimuona babu Asprin mpe zake salamu.
Tegemea kuniona karibu yako tena na tena.
Im humbled... [emoji120] [emoji120] [emoji120]Woow.... Karibu yako.... Karibu yangu....
Mish yuu baba yeyooo