Swali la namba yangu umetoa wapi.?

Swali la namba yangu umetoa wapi.?

ema nuel

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
570
Reaction score
576
Jibu lake hili hapa:
IMG-20180818-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atasonya kwa hilo jibu.

Nipo umepotea kama mkojo wa kuku.

Hahahahahha una uzoefu nao hapo kwenye kusonyaa??!! Anyaways waache na misonyo yao wewe pata unachotaka.

Wewe Ndo umepotea na kuonesha kuwa hutaki kuonekana hadi avatar umebadilisha.....

Haahahahahahaaa Masai weewee... Ati mkojo wa kuku.
Basi heri kuwa uko salama na nzima wa afya. Ukimuona babu Asprin mpe zake salamu.
 
Hizi za babu zimefikaza.

Maadam licha ya kuibadili avatar umeniona. Tegemea kuniona karibu yako tena na tena.
 
Back
Top Bottom