1. Elezea ni kwanini riba za bank za Tanzania ni 18%-25% wakati nchi nyingine wana riba za 5% kwa sasa?
2. Je hii inapunguza vipi kupanuka kwa uchumi?
3. Je tufanyaje kupunguza riba na kusaidia biashara ndogo ndogo kwenye mikopo nafuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.