Swali la uchumi: Je kwanini riba zetu za bank ni 18%-25%?

Swali la uchumi: Je kwanini riba zetu za bank ni 18%-25%?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Maswali

1. Elezea ni kwanini riba za bank za Tanzania ni 18%-25% wakati nchi nyingine wana riba za 5% kwa sasa?
2. Je hii inapunguza vipi kupanuka kwa uchumi?
3. Je tufanyaje kupunguza riba na kusaidia biashara ndogo ndogo kwenye mikopo nafuu?
 
Tusaidie kutuambia hiyo nchi yenye riba ya 5% then tutakupa majibu
 
Back
Top Bottom