K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Nov 6, 2017 #1 Maswali 1. Elezea ni kwanini riba za bank za Tanzania ni 18%-25% wakati nchi nyingine wana riba za 5% kwa sasa? 2. Je hii inapunguza vipi kupanuka kwa uchumi? 3. Je tufanyaje kupunguza riba na kusaidia biashara ndogo ndogo kwenye mikopo nafuu?
Maswali 1. Elezea ni kwanini riba za bank za Tanzania ni 18%-25% wakati nchi nyingine wana riba za 5% kwa sasa? 2. Je hii inapunguza vipi kupanuka kwa uchumi? 3. Je tufanyaje kupunguza riba na kusaidia biashara ndogo ndogo kwenye mikopo nafuu?
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 801 Nov 6, 2017 #2 Hamia huko kwenye nchi nyingine..
farujoni Senior Member Joined Dec 19, 2016 Posts 189 Reaction score 246 Nov 6, 2017 #3 Tusaidie kutuambia hiyo nchi yenye riba ya 5% then tutakupa majibu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Nov 6, 2017 #4 shida risk ya mikopo ni kubwa sana Tanzania kuliko nchi zingine.. wabongo hatulipagi madeni
K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Nov 6, 2017 Thread starter #5 DAKA MTUMBA said: Hamia huko kwenye nchi nyingine.. Click to expand... Tayari lakini jibu na wewe maswali yangu
DAKA MTUMBA said: Hamia huko kwenye nchi nyingine.. Click to expand... Tayari lakini jibu na wewe maswali yangu