Huwa wanapewa copyTunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi hiyo.
Tunaambiwa utaratibu timu ikichukua mara 3 mfululizo kama ilivyofanya Man City juzi ndo inapewa Kombe moja Kwa moja na kama siyo mara ya Tatu inatakiwa kulirudisha siku kadhaa kabla bingwa mpya hajakabidhiwa.
Swali langu ni kwamba yenyewe inabaki na kumbukumbu gani ya Hilo Kombe kwenye kabati zake?
Kuuliza si ujinga?
Nilimsikia msemaji wenu siku moja akijigamba kombe litakuwepo Jangwani kwa vizazi na vizazi nikasema huyu hajui asemalo.Tunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi hiyo.
Tunaambiwa utaratibu timu ikichukua mara 3 mfululizo kama ilivyofanya Man City juzi ndo inapewa Kombe moja Kwa moja na kama siyo mara ya Tatu inatakiwa kulirudisha siku kadhaa kabla bingwa mpya hajakabidhiwa.
Swali langu ni kwamba yenyewe inabaki na kumbukumbu gani ya Hilo Kombe kwenye kabati zake?
Kuuliza si ujinga?
Unaongelea kombe la robo fainali?Kwa mfano Mikia lile kombe lao la History la CAF
Msemaji wetu yupi?Nilimsikia msemaji wenu siku moja akijigamba kombe litakuwepo Jangwani kwa vizazi na vizazi nikasema huyu hajui asemalo.
Ukitengeneza mfanano wa kombe hilo kwa ajili ya kumbukumbu au "replica" sheria za CAF zinaweza kuwa haziruhusu maana unacopy ubunifu bila ruhusa ya muhusika.
Rekodi za picha, video, maandiko zinatosha kuweka kumbukumbu ila kama una ubavu pambana ushinde mara tatu mfululizo wakupe ukae nalo.
Yale makombe yanayoonyshwa kwenye gallery ya Real Madrid yote walichukua X3 mfululizo?Nilimsikia msemaji wenu siku moja akijigamba kombe litakuwepo Jangwani kwa vizazi na vizazi nikasema huyu hajui asemalo.
Ukitengeneza mfanano wa kombe hilo kwa ajili ya kumbukumbu au "replica" sheria za CAF zinaweza kuwa haziruhusu maana unacopy ubunifu bila ruhusa ya muhusika.
Rekodi za picha, video, maandiko zinatosha kuweka kumbukumbu ila kama una ubavu pambana ushinde mara tatu mfululizo wakupe ukae nalo.
Kombe la CAF la mwaka 1893Unaongelea kombe la robo fainali?
Unapata faida gani kuongea uongo?Nilimsikia msemaji wenu siku moja akijigamba kombe litakuwepo Jangwani kwa vizazi na vizazi nikasema huyu hajui asemalo.
Ukitengeneza mfanano wa kombe hilo kwa ajili ya kumbukumbu au "replica" sheria za CAF zinaweza kuwa haziruhusu maana unacopy ubunifu bila ruhusa ya muhusika.
Rekodi za picha, video, maandiko zinatosha kuweka kumbukumbu ila kama una ubavu pambana ushinde mara tatu mfululizo wakupe ukae nalo.
Huyo jamaa hana analo lijua mbaya zaidi hajui kama hajuiYale makombe yanayoonyshwa kwenye gallery ya Real Madrid yote walichukua X3 mfululizo?
Mnakaa na replica OG inabaki kwa waandaaji ka WCTunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi hiyo.
Tunaambiwa utaratibu timu ikichukua mara 3 mfululizo kama ilivyofanya Man City juzi ndo inapewa Kombe moja Kwa moja na kama siyo mara ya Tatu inatakiwa kulirudisha siku kadhaa kabla bingwa mpya hajakabidhiwa.
Swali langu ni kwamba yenyewe inabaki na kumbukumbu gani ya Hilo Kombe kwenye kabati zake?
Kuuliza si ujinga?
Sheria za mashindano zinatofautiana. Kwani za ligi kuu ya Tanzania kombe huwa linarudishwa?Yale makombe yanayoonyshwa kwenye gallery ya Real Madrid yote walichukua X3 mfululizo?
Msemaji wa Yanga, jina limenitokaMsemaji wetu yupi?